Sunday, September 30, 2012

FAHAM KUPITIA KATUNI

By Fede


Friday, September 28, 2012

HUYU NDIO MISS AFRICA MASHARIKI 2012

From Burundi (New Candidate): Miss East Africa 2012-Burundi: Ariella Kaneza (23). Finale to be held on 07th of December in Dar es salaam, Tanzania

Thursday, September 27, 2012

RICK ROSS NDIYE ATAKAYE FUNGA FIESTA 2012 DAR

SASA haina  shaka  tena  kuwa  mkali wa muziki wa  Hip Hop nchini Marekani Rick Ross ndiye  atakayekanyaga  jukwaa la fiesta  2012 na  kukamilisha shangwe za SERENGETI FIESTA 2012.

Akizungumza  na teentz.com  muda mfupi uliopita  mkuu wa vipindi kutoka  redio ya watu Clouds Fm  Seba  Maganga  amesema  kuwa  kila  kitu juu ya  msanii huyo kutuo Bongo kiko poa kinachosubiriwa  ni  muda  kuwadia tu
BONYEZA HAPO KUMSIKILIZA ALAFU SEMA BHAAAAAAS

MBU WAKUTENGENEZWA

Mdau wangu pata kujua uwepo wa huyu mbu pichani,Huyu mbu  ni zao la sayansi kwenye maabara chini ya ufadhili wa Serikali ya Marekani. Ameundwa na camera pamoja na kiwamba-sauti vinavyowezesha  kuongozwa toka mbali kwa kutumia remote.
Anaweza kutua kwenye ngozi yako, akachukua sampuli ya DNA na kukuachia kibati cha RFID  ili uweze kufuatiliwa nyendo zako, Mbu huyu anaweza kupiga masafa au kujishikiza katika nguo zako na kupata lifti mpaka nyumbani kwako au pahala atakapopangiwa kuishia.

TAZAMA KIUNO YA TID ft Mangwea


Wednesday, September 26, 2012

TAZAMA VIDEO MPYA YA PNC KUTOKA MTANASHATI


KIPEPERUSHI AINA YA "POSTER"

Hiki ni kipeperushi (Poster) tulicho dizain wenyewe kinachohusu Hoteli

BANGO LA SALOON LINALO WAKA TAA(BACK LIGHT BANNER)

BANGO LA SALOON "BACK LIGHT BANNER" HII NI MOJA YA KAZI TULIZO FANYA YA GRAPHIC
WASILIANA NASI KWA NAMBA TAJWA HAPO JUU.

UNT EZEKIEL "AFUNGUKA" AMTAKA NISHA AACHE KUJISHAUA


BAADA ya msanii wa filamu Salma Jabu ‘Nisha’, kulitaka Baraza la Sanaa la Taifa ’BASATA’, kumchukulia hatua kali msanii Aunty Ezekiel kwa madai picha zake za nusu utupu zinachafua maadili na kuwafanya wasanii wote waonekane wahuni, naye amekuja juu na kumtaka Nisha afanye mambo yake na aache tabia ya kumfuatilia.

Hata hivyo baada ya kutokea ishu ya Ezekiel bado wasanii wanaendelea kukumbwa na skendo chafu kwani naye Wema Sepetu kuna baadhi ya picha mitandaoni zinamuonesha sehemu kubwa makalio yake yakiwa wazi kitu ambacho kinaendelea kuwamaliza bongo movie.

Ezekiel alidai kuwa haoni sababu ya Nisha, kumtolea maneno hayo kwani hata yeye ana matatizo yake hivyo anatakiwa kujichunguza yeye ndipo aende kwa mtu mwingine.

Alidai kwa sasa anatumia lugha ya kistaarabu zaidi yani haitaji bifu lakini akizidi kumfuatilia atachanua makucha, ingawa hana tabia ya kuchukuiana na mtu ila kwa hili hajakubaliana nalo kwani wapo wasanii wagapi wanakosea na hajawahi kutoa kauli kama hiyo.

Hata hivyo aliongeza kuwa asitake kutumia kauli za mpenzi wake Ney, kuwa makahaba wako bongo movie kwani hata mwenyewe ni mmoja wa wasanii wa tasnia hiyo.

HAWANDIO WATAKAO SHIRIKI MISS TANZANIA

Warda Frenk katikati akiwa na mshindi mwenzake Anande Raziel upande wa kulia na Lucy Stefano kushoto haowote ni washindi wa Redds Miss kanda ya kaskazini,wote wanatarajiwa kujiunga na kambi ya Redds miss Tanzania.  
Redds miss kanda ya Mashariki 2012,katikati ni Rose Lucas,Irine Veda (kulia) na mshindi watatu Joyce Baluhi,baada yakutangazwa washindi wa shindano hilo lililofanyika Mjini Morogoro Sept 1 2012,Warembo hawa wote watashiriki shindano la Redds miss Tanzania 2012.
Redds miss Kinondoni Brigit Alfred (katikati),Diana George(kulia)ni mshindi wa pili,Irene David(kushoto)mshindi wa tatu,Brigit pia anashikilia taji la Redds miss Sinza 2012,Irene yeye akishikilia taji la Miss Ubungo 2012
Redds ukanda wa ziwa 2012/13 Eugene Fabian (katikati),kulia kwake ni mshindi wa pili Haappiness Daniel,Kushoto Happiness Rweyemamu,warembo hawa wataingia kambi ya Redds Miss Tanzania 2012.  
Naomi Jones,Caren Elias na Venance Edward  
Malkia wa Redd's Miss Tameke 2012, Edda Sylvester (katikati), akiwa na mshindi wa pili Flavian Maeda (kushoto), pamoja na Catherine Masumbigana aliyeshika nafasi ya tatu katika kilele cha mashindano hayo, Ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Redds miss kanda ya kati,Belinda Mbogo(katikati)akiwa na mshindi wa pili Lightness Michael(kushoto)na aliye twaa nafasi ya tatu Elizabeth Diamond baada ya kumalizika kwa shindano hilo Dodoma.
 Redds miss ilala 2012,Noela Michael akiwa na mshindi wa pili Magdalen Munisi(kulia) na mshindi wa tatu Mary (kushoto)mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano la Redds Miss ilala 2012.

Sunday, September 23, 2012

SEND OFF YA DINES GODYFREY MNZAVA

 Kulia ni Miss Dines Godyfrey Mnzava ambayendie Bibi harusi mtarajiwa kwa siku hiyo akijiandaa kuingia ukumbini kwa hafla yake ya kuagwa,anayefuata ni Elihaki Gogdfrey ambaye alimsindikiza dada yake kuingia ndani,wanaofuata ni wasindikizaji wa Bibi harusi mtarajiwa,Send off ilifana sana watu walifurahia masaa hayo mafupi ambayo ilianza saa 1:45 Usiku nakuishia saa 7 Usiku.
 Bibi harusi mtarajiwa na wasindikizaji weke wakiwa ndani ya ukumbi,Kulia ni Kaka wa Bwana harusi.
Elihaki akimkabithi dada yake kwa kaka wa Bwana harusi 

Friday, September 21, 2012

SALAMA JABIR APAKWA PODA

Kiukweli ilikua ni ishue! Ilikuwa kazi sana kumpata Salama Jabir ili tumpeleke akapake poda, lakini kwa sababu ya mahitajio ya wengi...imebidi tumshike kwa nguvu na kumfikisha kwa mtaalamu wa urembo ili mmuone akipakwa poda! Je,wew unainaje hii 

FILAM MPYA YA STIVEN KANUMBA,BAADA YA MIEZI SITA YA KIFO CHAKE

Kwa mara ya kwanza toka kifo chake April 7 mwaka huu filamu mpya ya Marehemu 'Steven Charles Kanumba' inatarajiwa kuingizwa sokoni na kampuni ya usambazaji ya Step Entertainment ya hapa nchini. Filamu hiyo itakayokuwa ikifahamika kwa jina la 
NDOA YANGU, ndania yake yuko mhusika mkuu mwingine 'Jackline Wolper' ambayo kwa maelezo ya Step wanadai filamu hiyo imetengenezwa kwa kiwango cha juu ambapo haiwezi kukopiwa kirahisi na

Thursday, September 20, 2012

WAJUMBE WA BARAZA LA USALAMA BARA BARANI WATAMBELEA MLIMA KITONGA


Wajumbe wa Baraza la Wiki ya Nenda kwa Usalama wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamilisha ziara yao ya kutembelea mliama Kitonga. Maadhimisho ya wiki ya Nenda  kwa Usalama kitaifa yanafanyika Mkoani Iringa 

Tuesday, September 18, 2012

‘SNURA’ APANIA KULETA MAPINDUZI KWENYE MUZIKI NA SHOW ZAKE KWA UJUMLA…!!

MSANII wa filamu ambaye ameamua kuigia upande wa pili wa muziki, Snura, amesema  hahitaji kuonekana anafanya show bali malengo yake ni kuleta mapinduzi katika muziki huo na suala nzima la kitawala stage ili azidi kujiweka tofauti na wengine.

Msanii huyo alisema wasanii wengi wa Tanzania ni wavivu kwenye kutawala stage kwani mara zote huwa wanasimama sehemu moja kutokana na uvivu huku hata kucheza wanashindwa kutokana kujiona na wengine wanawatumia sana wacheza show wao.

NISHA’ AIOMBA BASATA IMCHUKULIE HATUA KALI ZA KINIDHAMU ‘AUNTY EZEKIEL’”…!!


WAKATI wadau wa filamu na kazi za wasanii wakimtolea macho Aunty Ezekiel, baada ya picha zake za nusu uchi kusambaa huku zikidaiwa zinavunja maandali ya kitanzania, msanii Salma Jabu ‘Nisha’, amezitolea uvivu picha hizo na kudai kuwa endapo angekuwa na madaraka juu ya BASATA basi angechukua hatua za kumfungia haraka msanii huyo kwa muda.
“Ingekuwawa mimi nipo kwenye uongozi wa juu wa BASATA ningetoa mfano mkubwa ili wasanii wengine wasifanye upuuzi kama huu, unajua kuna watu wakiona wapo kimya wanatafuta visababu vya kijinga ili tu watu wamzungumzie lakini si kwa ishu hii kwani hapa anajiumiza mwenyewe,”alisema.

WIMBO MPYA WA CALVIN MC DOON ft BELLE 9-1


Monday, September 17, 2012

SERENGETI FIESTA NDANI YA MJI KASORO BAHARI

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dayna na kundi lake la Wakali wa Classic wakitumbuiza jukwaani
Pichani kulia ni Ofisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Simalenga akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera ambaye ni mgeni rasmi usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,wakati tamasha la Serengeti likiendelea

Saturday, September 15, 2012

UTOFAUTI WA KUTHAMINIWA KWA WANYAMA BARANI AFRIKA NA ULAYA

Hapa kwetu barani Africa wanyama kama MBWA, PAKA na wengineo  hawana thamani kabsaaa wala haki ya kupata matunzo au huduma za Afya zinazostahili labda kwa watu wachache na tena ni wale wa sehemu za 'UZUNGUNI' .

Friday, September 14, 2012

TAZAMA VIDEO YA UNT-EZEKIEL WA BONGO MUVI ALIVYO WEKA MAMBO YAKE HATHARANI FIESTA 2012

Wednesday, September 12, 2012

TAZAMA PICHA ZA MAJUMBA YA MAKAMU WA RAIS WA KENYA

WANAHABARI WAANDAMANA NCHI NZIMA KULANI MAUAJI YA DAUDI MWANGOSI


Mhariri Mkuu wa Channel Ten, Dinnah Chahali akiwa amezungukwa na waandishi wa habari wakati wa maandamano ya wanahabari jijini Dar es Salaam kupinga kuuawa kwa mwakilishi wa kituo hicho mkoani Iringa, Daudi Mwangosi.

Monday, September 10, 2012

TAZAMA VIDEO YA MWANDISHI WA HABARI ALIVYO UAWA IRINGA

MAMBO YA LINNAH AKIWA LONDON UINGEREZA

                            Linah akiwaamepoz kabla ya kuingia kwenye stage                   
                                                                             Ladies full kuwakilisha

Sunday, September 9, 2012

Hawa ni baathi ya viongozi wakubwa wa nchizao,Wa kwanza kushoto ni Jacob Zuma Rais wa South Africa,Barrack Obama Rais wa Muungano wa miji mikubwa ya Marekani,David Cameron waziri mkuu wa Uingereza, Hu Jintao Rais wa China, Jakaya M Kikwete Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kuna maswali mengi yameibuka kwamba!!Mwanaume wa kweli anapaswa aweje.
wengine wanasema aweanapiga pamba(yan aweanavaa vizuri),wengine wanasema awemtafutaji,nawengine wanasema aweananguvu.Je!!wewe kwamtazamo wako unaongelea vipi kuhusu mada hii,

CLOUDS YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA TABORA

Hii ni sehemu ya nje ya kituo hicho cha kulelea watoto yatima na wasiojiweza kama kinavyoonekana,kituo hicho kipo nje kidogo ya mji wa Tabora,kina jumla ya watoto wapatao 30. 
    

Saturday, September 8, 2012

WAISLAM WAFANYA MAANDAMANO YA AMANI

Pol

isi wakiwa wameweka ukuta kwenye lango kuu la Kuingilia jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani, jijini Dar es Salaam jana, ili kuzuia kundi la waumini wa dini ya Kiislamu, waliokuwa wameandamana kushinikiza wenzao waliokamatwa kwa kushawishi waislamu kukataa kuandikishwa Sensa waachiwe huru.

Friday, September 7, 2012

HUU NDIOUWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEDI AMANI KARUME UNAVYO ONEKANA



AY-ATANGAZWA KUWA BALOZI WA Airtel 2012/2013 

Kampuni ya simu za mikononiAirtel imemtangaza AY-kuwa balozi wake mpya wa 2012-2013 ikiwa ni utaratibu uliojiwekea kushirikiana na wasaniiinchini katika kazi mbali mbali za kijamii

Thursday, September 6, 2012

SIKILIZA SAMBOIRA REMIX YA BENPOL

A TIPS NIGHT WITH CHRIS BROWN'S OFFICIAL DJ-DJ BABEY DREW

WAREMBO WAJIFUA REDDS MISS TEMEKE 2012 TCC CLUB CHANG'OMBE

Warembo wa Redd's Miss Temeke, wakiwa mazoezini jana katika Club ya TCC Chang'ombe , tayari kwa shindano lao litakalofanyika Septemba 21 mwaka huu.

Wednesday, September 5, 2012

MKOME KUNITONGOZA FACEBOOK NIMEOLEWA(WITNESZ)

Taarifa maalum kwa wale wote wanaopenda kutongoza Facebook kwa upande wangu sipendi na sitaki kutongozwa kwa kuwa nimeolewa tayari na nina miaka miwili sasa toka niolewe so msijisumbue tafadhari na yeyote atakaye fanya hivyo kuanzia sasa nitalichukulia jambo hilo kama ni kitendo cha dharau na kublock huyu mtu ikiwezekana kulianika hadharani jina lake ninawaheshimu wote na kuwachukulia kama kaka zangu na mashabiki zangu pia, much love!
'Hivi ndivyo Witnesz alivyo funguka'
Na mimi naongezea "mshindwe  na mlegee."


LINAH NDANI YA UK(NEVER HAPPEN BEFORE)

TAZAMA VIDEO YA FIESTA 2011 MWANZA

AY-TANZANIAN ARTIST

AY msanii kutoka TANZANIA ameingia kwenye tuzo za Channel O Music Video Award 2012 akiwa kwenye sehemu 3, Sehemu hizo ni pamoja na
Most Gifted Video of the Year

AY ft Romeo & Lamyia: Speak With Your Body
Most Gifted East African video of the Year

AY ft Sauti Soul: I Don't Want to Be Alone
Most gifted male video of the year

AY ft Romeo & Lamyia: Speak With Your



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...