Monday, September 17, 2012

SERENGETI FIESTA NDANI YA MJI KASORO BAHARI

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dayna na kundi lake la Wakali wa Classic wakitumbuiza jukwaani
Pichani kulia ni Ofisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Simalenga akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera ambaye ni mgeni rasmi usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,wakati tamasha la Serengeti likiendelea
kufanyika.
Recho TOKA THT akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri,mjini Morogoro,ambapo wakazi kibao wa mji huo wamejitokeza kwa wingi.
Mkali wa Supa Nyota,Jo Meka akikamua jukwaani.
Wakazi wa Morogoro wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Jamhuri,ambako tukiozima  la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea hivi sasa.
Msanii wamduara AT akiduarika na mmoja wa densa wake jukwaani usiku huu.
Wadau wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri usiku huu.
Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka mjini Morogoro akiimba jukwaani.
Moja wa wasanii chipukizi kutoka mjini Morogoro akitumbuiza usiku huu kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...