Sunday, June 30, 2013

HIKI NI KIPEPERUSHI AINA YA FLYER KAMA KINAVYOONEKANA UPANDE WA MBELE NA NYUMA "KWA KAZI ZA GRAPHIC WASILIANA NASI 0717944092"..."


LOWASSA AMTAKA OBAMA ASIZUNGUMZIE MAMBO YA USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA AKIWA TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa, amemtahadhalisha kujiepusha na kauli za kuunga mkono ushoga.
 

Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, ameliambia NIPASHE Jumapili ofisini kwake jijini hapa jana kuwa ushoga na hai za ndoa kwa watu wa jinsia moja vinaweza `kuiharibu’ ziara yake hapa nchini.

TAZAMA PICHA....OBAMA NA MKEWAKE WAKIWA WAMEVAA VAZI LA KIASILI LA KIZULU


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...