DINI


Usiku wa kuamkia jana kulifanyika mkesha wa aina yake uliopewa jina la ''Night of Worship'' ambao umefanyika katika ukumbi wa kanisa la City Christian Centre Upanga jijini Dar es salaam ndani ya mkesha huo uliambatana na tukio kubwa la kundi la Glorious Celebration (G.C) kurekodi DVD yao Live baadaye waliungana na waimbaji wengine katika mkesha huo hadi majira ya ya saa 11 za alfajiri.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo kama zilivyotolewa na Ritha Mmbando.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...