Friday, November 30, 2012

PRO24 WAMKUMBUKA SHARO MILIONEA KWENYE BANG NA TBC!!

Alicia Keys Performs "Girl on Fire" [LIVE]

JB MPIANA ATUA NCHINI NA KUNDI LA WENGE MUSICA BCBG

Mwanamuziki nguli wa dansi JB Mpiana ametua jijini Dar es Salaam tayari kwa maonesho kadhaa ilikwemo la uzinduzi wa albamu ya Mashujaa Band litakalofanyika ijumaa katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam

Kabla ya onesho hilo la Ijumaa JB Mpiana ambaye amekuja na kundi lake la Wenge BCBG likiwa na wanamuziki wa zamani na wapya leo watafanya makamuzi jijini Arusha kabla ya kwenda Mwanza jumapili

Akizungumza na waandishi wa habari jijini JB Mpiana amewahidi watanzania kufanya shoo ya aina yake akiamini watanzania wengi itakonga nyoyo zao

"Nimefurahia mno kuja Tanzania kwa mara nyingine ikiwa ni pamoja na mapokezi niliyoyapata ambayo yananifanya niahidi kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki watakao hudhuria shoo zake" alisema

Alisema atapiga nyimbo za zamani na mpya katika programu yake ya hapa nchini ili kuwapa radha tofauti mashabiki wa dansi nchini



WIMBO "UTAMU" WA DULLY SYKES KUACHIWA DECEMBA MOSI


Ile ngoma inayosubiriwa kwa hamu kubwa inayoitwa "Utamu" ya Dully Sykes aliyowashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz inatarajiwa kuwa street December mosi.

Thursday, November 29, 2012

Tazama Movie mpya "True Romance - Nollywood Movie".

RIDDIMS BASHMENT NDANI YA BUDDHABLUE MIKOCHENI-EVERY FRIDAY


Wednesday, November 28, 2012

TAZAMA PICHA NANE ZA WAREMBO WATAKAO SHIRIKI MISS EAST AFRICA 2012 MLIMANI CITY 7 DECEMBA

 Burundi
 Eritrea
 Rwanda
Uganda
 Tanzania
 Ethiopia
 Somalia
Kenya

TAZAMA PICHA,MAZISHI YA SHARO MILIONEA,WATU WAFURIKA KUMUAGA

HUYU NDIYE MAMA  MZAZI WA MAREHEMU  HUSSEIN R MKIETI (SHAROMILIONEA ).

CECAFA LEO PATAMU KILIMANJARO STARS USO KWA USO NA BURUNDI

 TIMU ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' leo itashuka dimbani kuikabiri Burundi kwa lengo moja la kushinda na kujihakikishia nafasi ya kucheza robo fainali ya Kombe la Chalenji kwenye Uwanja wa Namboole, Kampala.

Pambano hilo linalotarajiwa kuwa na upinzani mkali litafanyika kuanzia saa 12 jioni, huku likitanguliwa na mechi ya mapema baina ya Somalia na Sudan litakalovurumishwa mnamo saa 10 jioni.

HII NDIO NDEGE YA FAST JET YENYE BEI NAFUU ,DAR, MWANZA OR KILIMANJARO TSH.32,000 TU.

ZINANZA SAFARI SIKU YA ALHAMISI NA ZITAKUWA NA SAFARI MARA MBILI KWA SIKU,KUTOKA DAR HADI KILIMANJARO HADI MWANZA NA KURUDI DAR TENA.NAURI KWA SAFARI MOJA NI $ 20 sawa na Tsh. 32000.

Tuesday, November 27, 2012

MAREHEMU SHARO MILIONEA KUZIKWA KESHO (JUMATANO) KIJIJINI KWAO LUSANGA, LUSHOTO TANGA

 Hilindilo gari alilopatanalo ajali Sharo milionea


SOMA UELEWE JINSI VYAKULA TUNAVYOKULA VINAVYOTUMALIZA


TUNAENDELEA kuwaletea mfululizo wa mada ya jinsi vyakula tunavyokula vinavyotumaliza na leo tutazungumzia muongozo wa ulaji vyakula kama ulivyoanishwa katika mpangilio wa vyakula kwa kufuata umuhimu wake mwilini (Food Pyramid).
NAFAKA
Muongozo huu ndiyo msingi wa ulaji kwa kila mtu na ndiyo msingi wa afya njema.

HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU SHARO MILIONEA ULIVYO BAADA YA KUPATA AJALI


KUTOKANA NA KUHARIBIKA KWA MWILI WA MAREHEMU WADAU WAMEOMBA TUONDOE PICHA HIYO" SAMAHANI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA:.

Monday, November 26, 2012

HABARI ZA HIVIPUNDE"SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA MKOANI TANGA"...!!!!!!


Habari tulizozipata hivi punde,msanii wa comed,muziki na muvi,Sharo Millionea afariki dunia
kwa ajali ya gari akiwa nyumbani kwao mkoa wa Tanga,Kamanda wa polisi mkoani humo Costa
tine Masawe amekiri kutokea kwa ajalihiyo kijiji cha Lusanga Muheza ambapo ndio maskani kwao,
endelea kupata yatakayojiri kutoka arise,(RIP SHARO).

HII NDIO UDOM INAYOSIFIKA NCHINI NA HATA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU..TAZAMA PICHA

Hili ni jengo la utawala la chuo,kamalinavyo onekana

DIAMOND ANYAKUA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME YA MWAKA 2012 "NZUMARI AWARD'S NCHINI KENYA"TAZAMA PIC'S


SIKILIZA TRACK MPYA YA AY FEAT V - MONEY

DIAMOND (PLATNUM) NA HEMEDI DCT WA MAPENZI; MAKUBWA HAYA ANGALIA PICHA BAADA YA DIAMOND KUPAKA WANJA, HEMEDI NAE ANAPAKA SHEDO!

 Hii ndio picha The Platnum akipaka poda
Ikiwa ni siku chache tu baada ya juonekana kwa picha y Diamond akipaka wanja, picha nyingine imeonekana ikimuonyesha Hemedi akipaka shedo! Hivi sasa jamani tufannyeje?
 Dereva mmoja wa taxi nchini Singapore amepongezwa na kusifiwa kwa uaminifu na moyo wa imani baada ya kukabidhi kitita cha zaidi ya paundi 500, 000 sawa na mabilioni ya shilingi kilichokuwa kimesahaulika kwenye gari yake.

Dereva huyo Sia Ka Tian (pichani) mwenye umri wa miaka 70 na ambaye amekuwa akiendesha taxi katika mji wa Singapore kwa zaidi ya miaka 30, alikuwa amewashusha wapenzi wawili watalii kutoka Thailand waliokukwenda kujivinjari nchini humo, baadae aligundua katika kiti cha gari kuna mfuko mweusi ambao sio wa kweke.

Anasema alipoufungua alikutana uso kwa uso na fedha nyingi zaidi ya dila milioni moja za Singapore na papo hapo akaamua kuzipeleka katika ofisi ya serikali inayohusika na vitu vilivyopotea na kuzisajili zikisubiri atakayeulizia.

Saturday, November 24, 2012

KATUNI ZETU LEO NA "ATI"..!!


By FeDe

TID NDANI YA MALAYSIA



TAZAMA PICHA MWANAMKE APIGWA NA MMEWAKE HADI KULAZWA SABABU YA SIM



Waandishi wa habari wakifanya mahojiano na Bi Pendo hospital ya Mkoa wa Mara
  Anaitwa Pendo Malima (31) mkazi wa Buhare Musoma mkoani Mara

 Beldina Nyakeke mwandishi wa gazeti la Citizen (Mara) akifanya Mahojiano na Bi Pendo  



Friday, November 23, 2012

TIGO YASHIKA NAFASI YA 5 KWA UBORA WA KUTOA HUDUMA KWA MITANDAO YA KIJAMII

Tigo Tanzania ina wastani wa kujibu wa dakika 24 na kiwango cha majibu ya 87.49% dhidi ya kiwango cha dakika 520 na kiwango cha 65.50% kiwango cha kujibu, kwa sekta hii. Makampuni au bidhaa ambazo zinajitoa kwa huduma bora za mitandao ya kijamii zinaonekana kuwa na huduma bora kwa wateja.
“Tunajivunia  kuweza kushika namba 5 bora kwa operasheni zetu duniani na kuwa bora zaidi kwa Afrika.Hili inaonyesha wazi  juhudi na nguvu tunazoweka ili kuhakikisha kuwa tunaongea na kuwasikiliza wateja wetu wakati wote, kwa njia inayokwenda na wakati wa sasa, alisema, Diego Gutierrez Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Tigo Tanzania”.

JE UNAFAHAM MAANA YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO?...

Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako.



>HERUFI A

>Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda.

>HERUFI B

>Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,

Tuesday, November 20, 2012

KIPEPERUSHI AINA YA "FLYER"

Hiki ni kipeperushi aina ya Flyer kamakinavyoonekana upande wa nyuma na mbele,Kwa mahitaji ya kazi yeyote ya Graphic wasiliana nasi kwa namba tajwa hapojuu.

HALI YA MWANA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI RAY C YAENDELEA KUWA NZURI

Hali ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Rehema Chalamila (Ray C) inaendelea kutengemaa baada ya kuendelea kupata matibabu na huduma muhimu kwa watu wake wa karibu akiwemo Ruge Mtahabwa

Hali yake kiafya ilibadilika baada ya kutumia madawa ya kulevya kwa wingi ambapo ilisababisha kupoteza dira yake nzima ya maisha yake kiujumla

TAZAMA VIDEO YA SUMA LEE VS LINEX-"BODA BODA"...!!!

Monday, November 19, 2012

WANA MITINDO 12 WAINGIA UNIQUE MODELS









Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili.
Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty,Phina revocatus,Amina Ayoub,Vivian Gilbert,Mwanaidi Mokitu,Elizabeth Boniface,Magreth M safiri,Berther Beson,Jennifer  Njabili ..
 


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...