Tuesday, July 17, 2012


SKENDO TRAILER(BONGO MUVI)

Wednesday, July 11, 2012

AUNT EZEKIEL NA SIMON MWAPANGATAKUJA NA BEST LOSERS
Baada ya movie yake ya Crazy Tenant iliyoigizwa na Wema Sepetu na Peter Msechu kuwa filamu iliyouza zaidi mwezi May hadi June mwaka huu nchini, super director Selles Mapunda anakuja tena na Best Losers.
Katika Best Losers Mapunda amewashirikisha Aunt Ezekiel na Stephen Mapunda na pia kwa mara ya kwanza amewatambulisha kwenye Bongo Movies akina dada ndugu wa kundi la muziki wa injili J-Sisters, Juliet,Judith,Jesse na Josephine.
SYNOPSIS:
Ndoto ya kila msichana jijini Dar es Salaam ni kuhamia Ulaya na kuishi maisha mazuri. Janet (Aunty Ezekiel), Juliet, Judith, Jesse & Josephine (J-Sisters). Akinana hawa wanapoteza miaka mingi kwa maisha yaliyofeli.

 Lakini ghafla wanagundua mgodi wa dhahabu “pesa zilizoibwa zikiibwa” EPA.
Tofauti na matarajio yao wanakutana na mambo wasiyoyajua kutoka kwa Jackson (Rado) mtu aliyekuwa karibu na marehemu Mapunda (aliyekuwa mbunge) katika mishimishe yao ya kuwa mabilionnare na Jackson hawezi kukubali waharibu ndoto yake.


Tuesday, July 10, 2012


KOCHA WA MANCHESTER CITY,ROBERTO MANCINI ASAINI MKATABA MPYA
Roberto Mancini, Kocha wa sasa wa timu ya Manchester City, alichukua nafasi ya Mark Hughes kama kocha.
Desemba mwaka 2009,ambapo anasifika kwa kuiongoza timu hiyo hadi kutwaa kombe la FA mwaka 2011.Mwaka mmoja baada ya hapo, City ilitwaa taji lake la kwanza la Ligi Kuu tangu mwaka 1968.Mancini amesain mkataba mpya wa kuendelea kufunda timu hiyo hadi mwaka wa 2017.
EPL:MANCHESTER CITY PREMIER LEAGUE CHAMPIONS
Baada ya kusubiri miaka 44 na dakika 94 hatimae wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza! Walinusurika baada ya QPR kuongoza 2-1 daika ya 90, lakini ndani ya dakika 5 za nyongeza waliweza kusawazisha na kuongeza bao la ushindi, na kutwaa ubingwa



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...