Thursday, July 4, 2013

INAPOTOKEA UMEMPENDA MTU ALIYE NA MPENZI WAKE FANYA YAFUATAYO


Mapenzi yamekuwa yakichukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku na yamekuwa yakichangia kwa kiasi kikubwa furaha kwa kila mtu.


Kama huamini, angalia wale waliotokea kupenda na wao wakapendwa, utabaini nyuso zao zimetawaliwa na furaha isiyo na kifani. Lakini mapenzi hayo hayo yamekuwa ni chanzo cha vilio kwa baadhi ya watu.

Mpenzi msomaji wangu, kupenda hakuna macho! Moyo ukishapenda hausikii la kuambiwa. Katika hili ndiyo maana unaweza kumuona mwanaume kazimika kwa demu ambaye hawaendani kabisa lakini moyo wake ndiyo umeshapenda.

Ilishawahi kutokea msichana akampenda kijana mmoja ambaye ni fukara kupita maelezo. Yeye akawa ndiyo anamhudumia kwa kila kitu. Akamfanyia mpango wa ajira na mwisho wake wakafunga ndoa.

Tuesday, July 2, 2013

KWA WOTE WANAOHITAJI KUJIFUNZA KOZI ZA KOMPYUTA KATIKA KITUO KILICHO SAJILIWA WAONE HAWA!!

MAZINGIRA YA KITUO



JE! UNAFAHAM SIFA YA GARI LA RAIS WA MAREKANI? SOMA HAPA


BARACK OBAMA NA MICHELLE OBAMA WATUMBUIZWA NA NGOMA ZA ASILI YA KITANZANIA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...