Saturday, September 15, 2012

UTOFAUTI WA KUTHAMINIWA KWA WANYAMA BARANI AFRIKA NA ULAYA

Hapa kwetu barani Africa wanyama kama MBWA, PAKA na wengineo  hawana thamani kabsaaa wala haki ya kupata matunzo au huduma za Afya zinazostahili labda kwa watu wachache na tena ni wale wa sehemu za 'UZUNGUNI' .


Wakati Barani Ulaya wanyama hawa huwa wanathamini wa na kuheshimika mpaka kupandishwa kwenye Mabasi na Matrain kokote pale, hali ni tofauti na hapa kwetu Africa ambapo wanyama hawa wanatumiwa zaidi Kishirikina na hata maranyingine kuteswa kama picha hii inavyoonesha hapo juu bila sababu za Msingi.

Sasa kitendo kama hicho cha kumuweka mnyama 'MSALABANI' kawa hao mabwana walivyofanya kwenye picha wangekifanya Ulaya, wangefungwa miaka mingi Gerezani na Faini juu...
  

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...