Friday, September 21, 2012

SALAMA JABIR APAKWA PODA

Kiukweli ilikua ni ishue! Ilikuwa kazi sana kumpata Salama Jabir ili tumpeleke akapake poda, lakini kwa sababu ya mahitajio ya wengi...imebidi tumshike kwa nguvu na kumfikisha kwa mtaalamu wa urembo ili mmuone akipakwa poda! Je,wew unainaje hii 

1 comment:

Anonymous said...

Hivi huyu mtt vp simfahamu kabisa kujifanya kiume mavazi na action za kiume, yani hana muelekeo wowote vile wala uzuri wa kuvutia hovyoo, mtt wa kiarabu upo kama vidume vya kuokota, mungu kakuumba jike kwa jiweke fresh kama wengine.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...