Sunday, September 23, 2012

SEND OFF YA DINES GODYFREY MNZAVA

 Kulia ni Miss Dines Godyfrey Mnzava ambayendie Bibi harusi mtarajiwa kwa siku hiyo akijiandaa kuingia ukumbini kwa hafla yake ya kuagwa,anayefuata ni Elihaki Gogdfrey ambaye alimsindikiza dada yake kuingia ndani,wanaofuata ni wasindikizaji wa Bibi harusi mtarajiwa,Send off ilifana sana watu walifurahia masaa hayo mafupi ambayo ilianza saa 1:45 Usiku nakuishia saa 7 Usiku.
 Bibi harusi mtarajiwa na wasindikizaji weke wakiwa ndani ya ukumbi,Kulia ni Kaka wa Bwana harusi.
Elihaki akimkabithi dada yake kwa kaka wa Bwana harusi 



Shangazi wa Bwana harusi akimvisha kanga Bibi harusi mtarajiwa

Keki zikiwa zimepangwa kwa staili ya ngazi,"Simchezo"Dines akipatiwa keki na msaididiz wake iliawapatie wa zazi wake ishara ya shukrani kwa malezi yao mpaka alipofikia.

Muda wakufungua shampeni ukafika,baada yahapo watu walipiga Chiaz ishara ya kuwa pamoja katika kilajambo wakati shamra shamra zikiendelea.
Dines akimpatia mama yake mzazi keki,Kiukweli keki ilikua ni tamu watu wote walikula hadi wakabeba

Kushoto ni mama wa Bwana harusi,anayefuata ni Baba wa Bwana harusi wakiambatana na ndugu wakaribu,hivi ndivyo shunghuli ilivyokua.

Wa mama wakijiandaa kwa shughuli ya Send off ambayo ilifantika siku hiyo hiyo.

Kulia ni Brigadia Gen. Mbarouk,kati kati ni Mrs Idinga Mnzava,kushoto ni Mrs.Mbarouk wakiwa wanazungumza machache wakingojea kuingia ukumbini.






Zawadi toka ukweni ikikabithiwa upande wa Bibi harusi.

Watu waki sherehekea

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...