Thursday, September 27, 2012

RICK ROSS NDIYE ATAKAYE FUNGA FIESTA 2012 DAR

SASA haina  shaka  tena  kuwa  mkali wa muziki wa  Hip Hop nchini Marekani Rick Ross ndiye  atakayekanyaga  jukwaa la fiesta  2012 na  kukamilisha shangwe za SERENGETI FIESTA 2012.

Akizungumza  na teentz.com  muda mfupi uliopita  mkuu wa vipindi kutoka  redio ya watu Clouds Fm  Seba  Maganga  amesema  kuwa  kila  kitu juu ya  msanii huyo kutuo Bongo kiko poa kinachosubiriwa  ni  muda  kuwadia tu
BONYEZA HAPO KUMSIKILIZA ALAFU SEMA BHAAAAAAS

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...