Thursday, September 27, 2012

MBU WAKUTENGENEZWA

Mdau wangu pata kujua uwepo wa huyu mbu pichani,Huyu mbu  ni zao la sayansi kwenye maabara chini ya ufadhili wa Serikali ya Marekani. Ameundwa na camera pamoja na kiwamba-sauti vinavyowezesha  kuongozwa toka mbali kwa kutumia remote.
Anaweza kutua kwenye ngozi yako, akachukua sampuli ya DNA na kukuachia kibati cha RFID  ili uweze kufuatiliwa nyendo zako, Mbu huyu anaweza kupiga masafa au kujishikiza katika nguo zako na kupata lifti mpaka nyumbani kwako au pahala atakapopangiwa kuishia.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...