Friday, September 7, 2012

AY-ATANGAZWA KUWA BALOZI WA Airtel 2012/2013 

Kampuni ya simu za mikononiAirtel imemtangaza AY-kuwa balozi wake mpya wa 2012-2013 ikiwa ni utaratibu uliojiwekea kushirikiana na wasaniiinchini katika kazi mbali mbali za kijamii
AY-ni msanii wa nyimbo za kizaz ikipya maarufukama Bongo fleva amekuwa akikonga nyoyo za washabiki wake ndani na nje ya nchi,vilevile amekuwa akipeperusha bendera ya Nchi katika mataifa mbali mbali ya nje kupitia sanaa ya muziki

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...