Monday, December 31, 2012
Saturday, December 29, 2012
CATHERINE MASUMBIGANA NDIYE UNIQUE MODEL 2012
Saturday, December 22, 2012
TAJOA;MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YAMPA DHAMANA LULU;Msanii Lulu kula Xmas akiwa kwao
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imempa dhamana msanii Elizabeth Michael baada ya kupitia vifungu kadhaa na kuona kesi yake ya kuua bila kukusudia inadhaminika.
Kwa maana hiyo, Lulu sasa atasherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka mpya wa 2013 akiwa na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki.
Msanii huyo ambaye anatuhumiwa kuhusika na kifo cha msanii mwenzake, Steven Kanumba - The Great, alibadilishiwa kosa la kuua na kuwa kuua bila kukusudia, ambalo, kwa mujibu wa sheria linadhamnika na kwamba ikiwa mtuhumiwa atapatikana na hatia, adhabu ya juu kabisa ni kifungo cha maisha, miaka kadhaa au kuachiwa huru
Kwa maana hiyo, Lulu sasa atasherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka mpya wa 2013 akiwa na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki.
Msanii huyo ambaye anatuhumiwa kuhusika na kifo cha msanii mwenzake, Steven Kanumba - The Great, alibadilishiwa kosa la kuua na kuwa kuua bila kukusudia, ambalo, kwa mujibu wa sheria linadhamnika na kwamba ikiwa mtuhumiwa atapatikana na hatia, adhabu ya juu kabisa ni kifungo cha maisha, miaka kadhaa au kuachiwa huru
Friday, December 21, 2012
TAMTHILIA MPYA NA NZURI KUTOKA BONGO IITWAYO - HIGH HEELS,WAHUSIKA NI ,RAYUU,CHUZ,NA WENGINE KIBAO
Mr.Chuz
Mtunzi ni tuesday kihangala na mtaharishaji , Pia wasanii wa jumba la dhahabu utawakuta humo hii ni zaidi ya jumba la dhahabu
Rayuu
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2012 YATANGAZWA
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa leo ametangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2012 uliofanyika nchini kote tarehe 19 na 20 Septemba, 2012.
Katika Mtihani huo Jumla ya wanafunzi 894,881 walisajiliwa kufanya mtihani huo ambapo wavulana ni 426,285 sawa na asilimia 47.64 na wasichana ni 468,596 sawa na asilimia 52.36. Aidha, kati ya wanafunzi hao, wapo wanafunzi 874,379 ambao walitarajiwa kufanya mtihani huo kwa lugha ya Kiswahili na wanafunzi 20,502 walitarajiwa kufanya kwa lugha ya Kiingereza ambayo ndiyo waliyoitumia kujifunzia.
Wanafunzi wasioona waliosajiliwa kufanya mtihani ni 92 wakiwemo wavulana 53 na wasichana 39. Watahiniwa wenye uono hafifu ambao huhitaji maandishi makubwa ni 495, kati yao wavulana ni 238 na wasichana ni 257.
Wednesday, December 19, 2012
Tuesday, December 18, 2012
Monday, December 17, 2012
Thursday, December 13, 2012
MAKUBWA HAYA ANGALIA PICHA MIKE TYSON AJIGEUZA NA KUWA MWANAMKE!
Mmoja amesema kwamba: “Huko nyuma, alikuwa anapenda sana kuvaa sana glovu za kike, viatu virefu vya ngozi vya kike na magauni ya hariri, na pia alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana heleni.”
Tyson ambaye amebadili jina na kujiita Michelle.
“Watu wanaona ni ajabu mie kuwa mwanamke hivi sasa,” alisema Tyson ambaye aliwahi kufungwa kwa kubaka, na ambaye amefanyiwa mabadilko kadhaa ya uso, pua na viungo vingine kwa masaa 16. Aliongeza kwamba: “Hata nilipokuwa bondia nilikuwa natamani sana kuwa na matiti na nyeti za mwanamke.”Iron Mike au Iron Maiden kama anavyojulikana sasa aliyasema hayo akiwa ametulia huku amevaa wigi la kike, suruali ya ‘jeans’ ya bluu na T-shirt yenye picha ya Vanessa Bruno ambapo alidokeza kwamba mara sehemu zote nyeti za kike zitakapojitokeza atawadhihirishia Wamarekani kwamba yeye si “mvulana mbaya” tena.Amesema ameutunza uume wake ulioondolewa katika chupa ili kuwakumbusha wabaya wake waliokuwa wakimfanyia vitendo vya kuchukiza yeye na “wavulana wazuri” wengine huko gerezani.Japokuwa wachambuzi wa masuala ya ndondi mwanzoni walishangazwa na maneno hayo ya Tyson, wengi wamekiri kwamba alama za yeye kupenda hivyo zilikuwepo.
Mike Tyson 'Michelle' ambaye anayedaiwa kujibadili na kuwa mwanamke.
BINGWA mashuhuri wa zamani wa uzito wa juu duniani, Mike Tyson, anasemekana yuko katika hali nzuri baada ya kujibadili na kuwa mwanamke katika operesheni aliyofanyiwa huko Beverly Hills, Marekani, hivi karibuni ambapo amebadili jina na anajiita Michelle.Kuna wakati Tyson alikuwa anajulikana kama “Mtu mwenye sura mbaya zaidi duniani”!
Tuesday, December 11, 2012
UWOYA ATOA KITUKO CHA MWAKA
Kituko hicho kilitokea katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar wakati Uwoya alipokuwa akiomba kura mbele ya wasanii wenzake.
Kauli yake hiyo iliwashangaza wengi kwa kuwa Uwoya ni mmoja kati ya wasanii wanaoongoza kwa kuandikwa kwa skendo.
“Hakuna asiyejua jinsi skendo zilivyonichafua, nilipogundua kuwa zinaniharibia maisha nikaachana nazo, sasa ole wao wote wenye tabia za aina hiyo, hakika watanitambua,” alisema na kuzua minong’ono.
Pamoja na minong’ono hiyo, Uwoya alifanikiwa kuwabwaga wapinzani wake Benny Kinyaiya na Lissa Aidan na kuchukua nafasi hiyo.
RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE AMSAIDIA RAY C
Mh.Raisi
Kikwete akiwa na mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C leo Ikulu
Jijini Dar es Salaam wakati mwanamuziki huyo alipoenda kumtembelea Raisi
na kumpa shukrani kwa kumsaidia kwenye matibabu ya juu ya ugonjwa
uliokuwa ukimsumbua. Aidha Ray C alimueleza Raisi kwamba afya yake
imeimarika na kwamba muda mfupi ujao atarudi kuendelea na kazi yake ya
muziki. Kwa upande wa mama yake Ray C amemshukuru Kikwete kwa kuokoa
maisha ya mwanae kwa kugharamia matibabu yote ya mwanae.
Monday, December 10, 2012
TAZAMA PICHA YA KITUKO IKIMUONYESHA VAN PERSIE VS ROONEY WAKIWA WANAWACHAPA MAHATERS WOTE
This one for the HATERS.. We did beat the history (liverfools), we did beat the college staffs (Arsenal)... We made it against the fake champions of EUROPE (Chelsea)... Where are they ?? the so called Money spenders.. Shitty.. Haters, keep talking.. we'll keep winning.. hehee.. HapPy new Year EPL leaders!!
Sunday, December 9, 2012
HAYA NDIYO YALIYOJIRI LEO KATIKA UWANJA WA UHURU KATIKA KUMBU KUMBU YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANZANIA BARA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk.Jakaya
Kikwete akiwasili katika gari maalum la Kijeshi na Mkuu wa majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange kwenye uwanja wa uhuru kwa ajili ya
maadhimisho ya miaka 51 Uhuru wa Tanzania Bara 2012 yanayofanyika kila
mwaka Desemba 9, Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu ni “Uwajibikaji,
Uadilifu na Uzalendo ni nguzo ya Maendeleo ya Taifa letu”
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda akiwasili
kwenye uwanja wa Uhuru kuhudhuria maadhimisho hayo huku akisindikizwa na
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Said Meck Sadik.Saturday, December 8, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)