Chidi Benz (Chuma) akitoa burudani
Msanii Ommy Dimpoz akipagawisha mashabiki
MSANII wa filamu Bongo, Jackline Wolper, usiku wa kuamkia leo ameibuka
kidedea kwenye shindano lililokuwa likiwashirikisha mastaa wa kike Bongo
la Ijumaa Sexiest Girl 2012 ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
Wolper amejizolea heshima lukuki na kitita cha sh. milioni 2 ikiwemo na ofa ya kulipiwa saluni kujiremba kwa mwaka mzima. Usiku wa leo pia ndani ya ukumbi huo kulikuwa na burudani kibao kutoka kwa Ommy Dimpoz, Chidi Benz, Dogo Asley, TOT Taarab na michezo kibao ya watoto iliyosindikizwa na shindano la Mkali wa Mic.

No comments:
Post a Comment