Friday, December 7, 2012

TAZAMA PICHA-UNIQUE MODEL 2012 YAZIDI KUPAMBA MOTO

 Washiriki wakiwa ndani ya Giraffe ocean view



Wana mitindo 12 watapanda jukwaamoja ilikumpata Unique model wa mwaka 2012,matangazo kupitia DTV,88.4,Clouds FM pamoja na
Gazeti la tanzania daima,vile vile Gazeti la kiu na Blog hii,matangazo yatakujia hivi karibuni,kaa mkao wa kula.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...