Tuesday, December 4, 2012

LORD EYEZ KUTOKA NA TUNGO YA RAY C



Akizungumza katika mahojiano yake na kituo cha televisheni kimoja wapo jijini Dar es Salaam alisema kuwa ameamua kutunga mistari kuhusiana na matatizo yanayomkabili kwa sasa kwa lengo la kumfariji msanii huyo

Alisema kuwa anasikitika na baadhi ya watu kumuhusisha katika matatizo yanayomkabili Ray C yanayotokana na matumizi ya madawa ya kulevya jambo ambalo anadai hausiki nalo

"Sihusiki kabisa na swala la Ray C kutumia dawa za kulevya na naomba watu wasiniongeze mzigo kwa kunihukumu katika vitu ambavyo sihusiki navyo, hata mimi tatizo lake limenigusa na ninamuombea sana arudi katika hali yake ya kawaida na ninaamini mungu atamsaidia na atakuwa pouwa " alisema Lord Eyez


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...