Tuesday, November 27, 2012

SOMA UELEWE JINSI VYAKULA TUNAVYOKULA VINAVYOTUMALIZA


TUNAENDELEA kuwaletea mfululizo wa mada ya jinsi vyakula tunavyokula vinavyotumaliza na leo tutazungumzia muongozo wa ulaji vyakula kama ulivyoanishwa katika mpangilio wa vyakula kwa kufuata umuhimu wake mwilini (Food Pyramid).
NAFAKA
Muongozo huu ndiyo msingi wa ulaji kwa kila mtu na ndiyo msingi wa afya njema.

Kwa mujibu wa muongozo huo, vyakula vitokananvyo na nafaka ndivyo vinavyotakiwa kuliwa kwa wingi kuliko vyakula vingine. Vyakula hivyo ni vile vinavyopikwa kutokana na nafaka kama ngano, mahindi, mchele, mtama na vingine kama viaza vitamu na muhogo.




No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...