Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?.
Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako.
>HERUFI A
>Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu
anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake.
Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa,
anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Herufi A inawakilisha Nyota ya
Punda.
>HERUFI B
>Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu,
mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita
au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha
Nyota ya Ngombe,
>HERUFI C
>Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu
wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao
wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano Herufi C
inawakilisha Nyota ya Mapacha,
>HERUFI D
>Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu
anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda
usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. Herufi C inawakilisha Nyota ya Kaa,
>HERUFI E
>Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu
mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi
na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu. Herufi
E inawakilisha Nyota ya Simba,
>
>HERUFI F
>Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu
mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi
wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi. Herufi F
inawakilisha Nyota ya Mashuke,
>HERUFI G
>Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu
mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na
uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na
mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu. Herufi G inawakilisha Nyota ya
Mizani,
>HERUFI H
>Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu
mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na
jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi. Herufi H
inawakilisha Nyota ya Nge,
>HERUFI I
>Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu
mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye
hasira za haraka. Herufi I inawakilisha Nyota ya Mshale,
>HERUFI J
>Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu
mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata
mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo.
Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,
>HERUFI K
>Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu
mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na
kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu
asioridhika na hali ya kimaisha. Herufi K inawakilisha Nyota ya Ndoo,
>HERUFI L
>Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa
vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali
mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,
>HERUFI M
>Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu
mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye
haraka na mwepesi kukasirika. Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda
>HERUFI N
>Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu
mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana. Herufi
N inawakilisha Nyota ya Ngombe
>
>HERUFI O
>Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu
mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda
kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia. Herufi O
inawakilisha Nyota ya Mapacha
>HERUFI P
>Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu
mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda
sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu. Herufi P inawakilisha Nyota ya Kaa
>HERUFI Q
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu
mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha
vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha
Nyota ya Simba
>HERUFI R
>Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu
mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa
mpenda amani. Herufi R inawakilisha Nyota ya Mashuke
>HERUFI S
>Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu
mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na
hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani
>HERUFI T
>Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu
mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na
hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni
wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge
>HERUFI U
>Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu
mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu
mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Herufi U inawakilisha Nyota ya
Mshale.
>HERUFI V
>Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu
Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Herufi
U inawakilisha Nyota ya Mbuzi.
>HERUFI W
>Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu
muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na
mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari. Herufi W inawakilisha
Nyota ya Ndoo.
>HERUFI X
>Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu
asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye
uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.
>HERUFI Y (YASINTA)
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu
mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa
uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha
Nyota ya Punda
>HERUFI Z
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu
mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa
kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ngombe.

uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha Nyota
ya Punda
>HERUFI Z
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu
mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa
kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ngombe.
No comments:
Post a Comment