Elizabeth
Michael a.k.a LULU, (Katikati), akielekea kupanda basi la magereza
kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Kkazi Kisutu, baada ya kesi
inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven
Kanumba, kuahirishwa
LULU akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya Segerea
No comments:
Post a Comment