Thursday, October 25, 2012

HII NDIO SHOOPING YA WEMA SEPETU"TAZAMA MWENYEWE"..

 HII ni safu mpya ambayo inamhusu staa wa fani yoyote, mwanamke au mwanaume ambaye atakuwa amenaswa akinunua bidhaa za matumizi yake. Wiki hii tunaanza kuangalia ‘shopping’ ya staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ambayo kiukweli ilikuwa kufuru.
Mrembo huyo alinaswa hivi karibuni akifanya manunuzi ya nguo tu, zenye thamani ya Sh. milioni 4.3 katika duka la Amina Designer lililopo ndani ya Jengo la Quality Centre jijini Dar.
“Ni utamaduni wa kawaida kwangu kufanya shopping mara kwa mara "alisema Shostito huyo". Sioni uchungu wa kutoa fedha,…


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...