Msanii machachari kutoka Mtanashati entertainment,Dogo Janja,amedai kuwa yupo katika mazungumzo na wasanii kutoka nchi jirani Prezzo na Dr. Jose Chameleone ili
aweze kufanya nao kazi ya pamoja, ikiwa ni katika mikakati ya kupanua
wigo wa kumtangaza zaidi kimataifa. Bado hajaweka wazi ngoma itaitwa
jina gani na itafanyika studio gani. Amedai mazungumzo yakienda sawia
ngoma hiyo inaanza kufanyiwa kazi mapema mwezi novemba.
No comments:
Post a Comment