Tuesday, July 10, 2012


KOCHA WA MANCHESTER CITY,ROBERTO MANCINI ASAINI MKATABA MPYA
Roberto Mancini, Kocha wa sasa wa timu ya Manchester City, alichukua nafasi ya Mark Hughes kama kocha.
Desemba mwaka 2009,ambapo anasifika kwa kuiongoza timu hiyo hadi kutwaa kombe la FA mwaka 2011.Mwaka mmoja baada ya hapo, City ilitwaa taji lake la kwanza la Ligi Kuu tangu mwaka 1968.Mancini amesain mkataba mpya wa kuendelea kufunda timu hiyo hadi mwaka wa 2017.
EPL:MANCHESTER CITY PREMIER LEAGUE CHAMPIONS
Baada ya kusubiri miaka 44 na dakika 94 hatimae wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza! Walinusurika baada ya QPR kuongoza 2-1 daika ya 90, lakini ndani ya dakika 5 za nyongeza waliweza kusawazisha na kuongeza bao la ushindi, na kutwaa ubingwa



No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...