Saturday, November 10, 2012

HILI NDIO TUKIOZIMA LA EPIQ BONGO STAR SEARCH DIAMOND JUBILEE JANA USIKU

 Mshindi wa shindano la  Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS),Walter Chilambo (Dar) akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha shilingi milioni 50 usiku wa jana ndani ya ukumbi wa Diamond jubilee,katika shindano hilo lililovuta hisia za wengi,mshindi wa pili ameibuka mwanadada Salma Abushiri  (Zanzibar) na watu ni Wababa Mtuka (Dar).
Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Limited, na jaji mkuu wa Shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS), akiwa amemkumbatia mshindi wa shindano hilo Walter Chilambo ambaye ni mshindi wa BSS,

 Mshindi wa shindano la  Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS),Walter Chilambo (Dar) akiwashukuru wapenzi na msahabiki wake waliompigia kura na hatimaye kuibuka mshindi wa shindano hilo,lililofanyika ndani ya ukumbi wa Diamond jubilee.
 Hili ndo jopo la majaji kutokea kushoto ni Salama Jabir akifuatiwa na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Limited, na jaji mkuu wa Shindano la  Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS), na wa mwisho ni Master J.....
Pia wadau waliojitokeza kwawingi kushuhudia fainali hizi za Epic Bongo Star Search....wakishangilia kwa shangwe na vifijo mara baada kutamkwa yeye ndiye kinara katika kilele cha shindano hilo lililovuta hisia za watu wengi.

 Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Limited,Madam Rita akimuweka sawa Master J...

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...