Monday, November 12, 2012

FABAK FASHION YAKULETEAONYESHO LA KHANGA ZA KALE NDANI YA SERENA- HOTEL TAR 23 NOVEMBA

Mama wa mitindoNchini,Asia Idarous kupitia kampuni yake ya Fabak Fasionons wanakuletea
onyeshow kubwa la Khanga za Kale litakalofanyika Novemba 23-2012 katika Hotel ya Serena
Jijini Dar es salaam

Onyesho hili kubwa ambalo limekualikifanyavizuri kwa muda wa mika minne sasa nakupata mafanikio
makubwa ndani na nje ya Tanzania hasa ktk nchi ya Marekani litawakutanisha wabunifu wakubwa ndani na nje
ya Tanzania

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...