Saturday, November 10, 2012

WALTER CHILAMBO NDIYE MSHINDI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012 NAKUNYAKUA MILIONI 50 ZA KITANZANIA

Mshiriki wa Bongo star search (EBSS) mwaka huu,Walter Chilambo ameibuka mshindi
wa shindano hilo nakujinyakulia kibunda cha shilingi milioni 50 za-alikabithiwa kiasihicho
kutoka kwa mthamini mkuu,kampuni ya simu za mikononi ya Zantel Tanzania.Mshindi wa pili
ni Salma Yusufu na watatu ni Wababa Mtuka.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...