Wednesday, November 14, 2012

WANAWAKE NA WATOTO WAONGEZEKA KUWA OMBA OMBA JIJINI DAR TAZAMA PICHA


 Akina mama wengine waliamua kuondoka eneo hilo mara baada ya kuona wanapigwa picha.
 Akina mama waliwa wamekaa pembeni ya barabara wakisubiri watoto wao wawaletee hela walizoomba.
 Watoto wakiwa wamekaa pembezoni mwa barabara wakisubiri magari, hali ambayo ni hatari sana. Serikali haina budi kuchukua hatua kazi kwa watu hawa ili kuweza kukomesha omba omba ambao kwa sasa wametanda pembezoni mwa barabara za jiji la Dar.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...