Thursday, November 8, 2012

VIGEZO VYA WASHIRIKI SHINDANO LA UNIQUE MODEL VYA WEKWA WAZI

Shindano la kumsaka mwanamitindo kumsaka mwanamitindo bora wa kike wa mwaka mwenye kipaji cha kipekee katika sanaa ya mitindo nchini Tanzania limechukua sura mpya baada ya kutangazwa kwa vigezo vya kujiunga na ushindi wa shindano hilo.

Akiongea na DarTalk, mkurugenzi wa shindano la unique model Bw. Methudelah Magese amevitaja vigezo hadharani ili wananchi waelewe ni mwanamitindo wa namna gani anaetafutwa ili kuleta maana halisi ya jina la shindano hilo.

Vigezo vya kujiunga na ushiriki washindano hilo :-
Pia vigezo vya mshiriki kuwa mshindi lazima akidhi vigezo vifuatavyo na Jumla ya alama ni 100 na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
· sura na umbo lenye mvuto wa mwanamitindo. (Alama 30).
· Uwezo wa ziada wa kutembea miondoko ya kimaonyesho ya nguo.(Alama 30).
· Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza (Alama 20).
· Kujiamini na uchangamfu jukwaani.(Alama 10)
· Nidhamu. (Alama 10)

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...