Thursday, November 15, 2012

SUMA LEE AONGELEA UJIO WA KAZI YAKE MPYA"ISSUE YA WASANII KUIBIANANYIMBO".

Wakati matukio ya wasanii kuibiana nyimbo yakiongezeka kwa kasi kilakukicha,msanii wa kizazi kipya
Suma lee,amesema kua yupokwenye mpango wakuachia nyimbo zake mpya lakini hadi sasa
hajajua ipi

itakwenda hewani kwani amefanya kazi kathaa kwa maproducer wengi,kama Marco Chali,KGT,Lamar na Maneck.


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...