Friday, November 9, 2012

KWELI MKE WA MTU NI SUMU:TAZAMA PICHA WANANCHI WA TEMEKE WAKITAKA KUWAONA WATU WALIO NASANA WAKI MMM......!!!

UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , wakiwa na hamu ya kutaka kumwona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke. 

  Wananchi wakishinikiza waoneshwe watu hao

  Huyu ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
FFU wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya  Temeke

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...