Monday, November 12, 2012

JE!!WAWEZA AMINI OBAMA ALIWAHI KUBEBAKI KIROBA? TAZAMA HAPA.

Rais wa Taifa kubwa lenye nguvu duniani(USA) Barak Obama enzi za ujana wake wakati hajui siku moja atakuwa rais wa Marekani,ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wagiza,
 Obama huyu aliekuwa anabeba kiroba leo ni mtu anaelindwa kuliko watu wote duniani,hata wewe waweza ni kujipanga tu yote yanawezekana tu kwa yeye atutiae nguvu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...