Saturday, November 17, 2012

BAABKUBWA RELOADED PART NDANI YA MAISHA CLUB -SUN 18-NOV..

Jumapili hii ndani ya New maisha Club kutakua na party Baabu kubwa kwa ajili ya kuzindua muonekano
mpya wa Baabkubwa Magazine na kutimiza miaka 8 tangu kuanzishwa.

Kutakua na show kali kutoka kwa wasanii Bob Junior,Mr Blue,Rich Mavoko huku wakisindikizwa na Dyna,Mtanashati,Baghdad
Warwill na wengine kibao.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...