Friday, October 12, 2012

KAMPUNI YA STEPS YATOA MSAADA SHULE YA BUGURUNI VIZIWI

  Ofisa wa Kampuni ya Steps Entatainmenti, wasambazaji wa kazi za wasanii. Mbasha Mkilanya 'kulia' akigawa sehemu ya vinywaji  vilivyotolewa na Kampuni ya Steps kwa ajili ya watoto wa shule ya Buguruni Viziwi Malapa Dar es salaam Kampuni hiyo imekuwa ikitoa misaada mbalimbali katika shule hiyo kwa ajili ya kuwa karibu na jamii inayowazunguka.
 Ofisa wa Kampuni ya Steps Entatainmenti, wasambazaji wa kazi za wasanii.
Mbasha Mkilanya 'kulia' akigawa sehemu ya vyakula vilivyotolewa na Kampuni ya Steps kwa ajili ya watoto wa shule ya Buguruni Viziwi Dar es salaam jana.
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Steps wakiwa pamoja na wanafunzi wa Buguruni Viziwi Malapa Dar es salaam jana.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...