Saturday, April 20, 2013

TAZAMA MAJANGA YALIYO TOKEA MAREKANI "MAGARI YATUMBUKIA ARDHINI"TAZAMA PICHA


  Hili tukio limetokea Alhamisi huko Chicago katikati ya makazi ya watu ambapo ni dereva mmoja tu ndio alijeruhiwa, chanzo ni kupasuka kwa bomba la maji hivyo ardhi ikajaa sana maji.

Monday, April 1, 2013

HILI NDIO KAVA LA FILAM MPYA "TWISTED" KUTOKA RJ COMPANY


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...