Thursday, January 31, 2013

KUACHIWA KWA LULU... MAMA KANUMBA ALIA SAA MBILI

Mama Kanumba, yupo mkoani Kagera kwa sasa, mara alipozipata taarifa za Lulu kuachiwa huru, alichukua picha yamarehemu Kanumba kisha akajikunyata, akakaa sebuleni peke yake na kuanza kuangua kilio.

Takriban saa moja tangu Mahakama Kuu Kanda ya…



TAZAMA Promise HD Official VIDEO KUTOKA KWA SHAA

Tuesday, January 29, 2013

HIKI NI KIPEPERUSHI AINA YA POSTER KWA MAHITAJI YA KAZI ZA GRAPHIC (POSTER, FLYER,ID CARD, CALENDER, LOGO NK) WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA TAJWA HAPO JUU


HII NDIO NYUMBA YENYE VIGAE YA MBUNGE ILIYOCHOMWA MOTO MTWARA

WABUNGE waliochomewa nyumba na mali zao katika vurugu zilizotokea Mtwara juzi; Anna Abdallah na Mariam Kasembe, jana waliangulia vilio walipotakiwa namwananchi  kuzungumzia tukio hilo.

Nyumba za wabunge hao wa Viti Maalumu na mali zingine kadhaa za taasisi mbalimbali, ni miongoni mwa vitu vilivyoharibiwa katika vurugu hizo ambazo pia zilisababisha vifo vya watu wanne wilayani Masasi.

Saturday, January 19, 2013

SIKILIZA TRACK MPYA YA BELLE 9

Tuesday, January 15, 2013

JB,RAY, WEMA SEPETU,UWOYA,RICHIE, ANGALIA PICHA ZAO ZA UZINDUZI WA KILIMO KWANZA KWADELO !









Monday, January 14, 2013

TAZAMA GARI AINA YA TOYOTA "TOLEO JIPYA"LINALO JIENDESHA LENYEWE KWAKUFATA MAELEKEZO BILA KUSHIKWA USUKANI WAKE

Sunday, January 13, 2013

KIPEPERUSHI AINA YA "FLYER" KINACHO ONEKANA MBELE NA NYUMA

Upande wa mbele wakipeperushi
Upande wa nyuma wa kipeperushi

HII NDIO LOGO YA ENDLESS FAME FILM ITAKAYO ANZISHWA NA WEMA SEPETU

Kupitia mtandao wa kijamii wa picha wa Instagram, Wema Sepetu ameshare picha zakwanza zinazoonesha logo ya kampuni yake iitwayo Endless Fame Films. “Nawaomba mzidi niombea nifike nnapotaka endless fame ifike… Inshallah,” ameandika mrembo huyo.

P SQUIRE HOUSE; ANGALIA PICHA SABA ZA NYUMBA YA KIFAHARI YA KINA PQUARE IITWAYO SQUAREVILLE!

 Family time
Peter akimsaidia mchumba wake kupika
 Sebule
 Mtoto wa Peter akicheza


Monday, January 7, 2013

VIONGOZI WAJIPANGE KUBORESHA SWALA LA ELIMU TANZANIA

Hizi ni baadhi ya shule za kata zilizopo mikoani

Friday, January 4, 2013

KAMA TATIZO NI DIGITAL BASI HII MPANGO MZIMA


HAPANDIPO ALIPOZIKWA MAREHEMU SAJUKI LEO KTK MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR

Hapa ndipo Sajuki amelala! May his soul REST IN PEACE(RIP)

Wednesday, January 2, 2013

BREAKING NEWZZZ. SAJUKI AFARIKI DUNIA

Breaking News:Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu
SOURECE ITV


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...